Mioyo Iliyojeruhiwa Na Mabenchi Tupu Kanisani - F Wayne Mac Leod - Books - Createspace Independent Publishing Platf - 9781725712676 - August 15, 2018
In case cover and title do not match, the title is correct

Mioyo Iliyojeruhiwa Na Mabenchi Tupu Kanisani

F Wayne Mac Leod

Price
CA$ 19.49

Ordered from remote warehouse

Expected delivery Jan 14 - 27, 2025
Christmas presents can be returned until 31 January
Add to your iMusic wish list

Mioyo Iliyojeruhiwa Na Mabenchi Tupu Kanisani

Ni kipi husababisha watu kuyahama makanisa yao? Je, ni haki wakati wote kulihama kanisa? Je, mipasuko yote kanisani ni mibaya? Utahamaje kanisa wakati kuhama inaonekana ni kitu cha lazima? Je, utatibu namna gani kutoka mhemuko na maumivu ya kiroho ambayo kutokana na migawanyiko ya kuchukiza na isiyopendeza? Ingawa haya sio maswali rahisi kuyajibu, uhakika wa mgawanyiko na mpasuko wa Makanisa kwenye makanisa uko bayana. Majaribio ya somo hili ni kukuchunguza jambo hili kwa upole na kutoa baadhi ya Mwongozo wa Kibiblia wa kulishughulika nakupitia hili mapambano ya kawaida tunayohisi katika kanisa la siku za leo.

Media Books     Paperback Book   (Book with soft cover and glued back)
Released August 15, 2018
ISBN13 9781725712676
Publishers Createspace Independent Publishing Platf
Pages 70
Dimensions 152 × 229 × 4 mm   ·   104 g
Language Swahili  

Show all

More by F Wayne Mac Leod